Misaada ya Kujifunza
Vita


Vita

Pambano, au ugomvi wa silaha; kupigana kwa silaha. Bwana hukemea vita isipokuwa tu kama ndiyo njia ya mwisho kwa Watakatifu Wake ili kuzilinda familia zao, mali, haki, heshima na uhuru wao (Alma 43:9, 45–47).