Misaada ya Kujifunza
Haruni, Mwana wa Mosia


Haruni, Mwana wa Mosia

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mwana wa Mfalme Mosia. Haruni alitumika kama mmisionari ambaye jitihada zake zilisaidia kuziongoa roho za wengi kuja kwa Kristo.