Misaada ya Kujifunza
Rameumtomu


Rameumtomu

Katika Kitabu cha Mormoni, ni jukwaa refu ambalo juu yake Wazorami, Wanefi waliokengeuka, walisali (Alma 31:8–14, 21).