Misaada ya Kujifunza
Talanta


Talanta

Kipimo cha kale cha uzito au kiasi cha fedha kilichokuwa cha thamani kuu. Pia hutumika kama ishara kwa kitu fulani chenye thamani kubwa, kama vile injili ya Yesu Kristo (Mt. 25:14–29; Eth. 12:35; M&M 60:2, 13).