Misaada ya Kujifunza
Shangwe


Shangwe

Hali ya furaha kuu inayokuja kutokana na maisha ya uadilifu. Madhumuni ya maisha katika mwili wenye kufa ni kwa watu wote kuwa na shangwe (2 Ne. 2:22–25). shangwe kamilifu itakuja tu kupitia kwa Yesu Kristo (Yn. 15:11; M&M 93:33–34; 101:36).