Msaada wa Masomo
Zarahemla
iliyopita inayofuata

Zarahemla

Katika Kitabu cha Mormoni, Zarahemla inataja kwa (1) mtu aliyeliongoza koloni la Muleki, (2) mji uliopewa jina lake, (3) nchi ya Zarahemla, au (4) watu waliomfuata yeye.