Misaada ya Kujifunza
Amlisi, Waamlisi


Amlisi, Waamlisi

Mtu aliye katika Kitabu cha Mormoni ambaye aliongoza kikundi cha Wanefi waliotaka kuwa na mfalme wakati wa utawala wa waamuzi. Wanefi hawa, waliojiita Waamlisi, walikuwa wakimwasi Mungu wazi wazi, kwa sababu hiyo walilaaniwa (Alma 2–3).