Misaada ya Kujifunza
Gharika katika Wakati wa Nuhu


Gharika katika Wakati wa Nuhu

Katika wakati wa Nuhu dunia ilifunikwa kabisa na maji. Huu ndiyo ulikuwa ubatizo wa dunia na ilikuwa ishara ya kuoshwa (1 Pet. 3:20–21).