Misaada ya Kujifunza
Ubatizo wa Watoto Wachanga


Ubatizo wa Watoto Wachanga

Desturi isiyofaa ya kubatiza watoto wachanga na watoto walio chini ya umri wa uwajibikaji, ambao ni umri wa miaka minane. Bwana analaani ubatizo wa watoto wachanga (Moro. 8:10–21). Watoto wanazaliwa bila hatia na pasipo dhambi. Shetani hana uwezo wa kuwajaribu watoto hadi wanapoanza kuwajibika (M&M 29:46–47) hivyo hawana haja ya kutubu au kubatizwa. Watoto yapaswa wabatizwe wafikiapo umri wa miaka minane (M&M 68:25–27).