Misaada ya Kujifunza
Kupaa


Kupaa

Kuondoka rasmi kwa Mwokozi kutoka duniani, siku arobaini baada ya Ufufuko Wake. Kupaa kulifanyika kutoka kileleni juu ya Mlima wa Mizeituni mbele ya wanafunzi wake (Mk. 16:19; Lk. 24:51). Wakati huo malaika wawili kutoka mbinguni walishuhudia kwamba hapo baadaye Bwana atarejea “jinsi hiyo hiyo” (Mdo. 1:9–12).