Misaada ya Kujifunza
Endaomenti


Endaomenti

Katika maana ya ujumla, ni kipawa cha uwezo kutoka kwa Mungu. Waumini wa Kanisa wenye kustahili wanaweza kupokea kipawa cha uwezo kwa njia ya ibada katika hekalu ambayo huwapa wao mafundisho na maagano ya Ukuhani Mtakatifu ambayo wao huhitaji ili waweze kupata kuinuliwa. Endaomenti hii hujumuisha mafundisho juu ya mpango wa wokovu.