Misaada ya Kujifunza
Kusema uovu


Kusema uovu

Kusema mambo ambayo siyo sahihi, yenye kuumiza, na yaliyo mabaya. Mara kwa mara katika maandiko misemo ya jinsi hii huelekezwa kwa mtu kwa dhamira maalumu ya kumsababishia maumivu.