Misaada ya Kujifunza
Mwinjilisti


Mwinjilisti

Mtu ashuhudiaye au atangazaye habari njema ya injili ya Yesu Kristo. Joseph Smith alifundisha kwamba mwinjilisti ndiye patriaki. Mapatriaki huitwa na kutawazwa chini ya maelekezo ya Mitume Kumi na Wawili ili kutoa baraka maalumu ziitwazo baraka za kipatriaki.