Misaada ya Kujifunza
Karamu ya Mwisho


Karamu ya Mwisho

Kulingana na Agano Jipya, ni chakula cha mwisho ambacho Yesu alikula kabla ya kukamatwa Kwake na kusulubiwa (Lk. 22:14–18). Yeye pamoja na Mitume Wake Kumi na Wawili walikula mlo huu wakati wa Pasaka (Mt. 26:17–30; Mk. 14:12–18; Lk. 22:7–13).