Misaada ya Kujifunza
Akidi


Akidi

Neno akidi linaweza kutumika katika njia mbili: (1) Kikundi fulani maalumu cha wanaume waliomo katika ofisi moja ya ukuhani. (2) Wingi, au idadi ya chini kabisa ya washiriki katika kikundi cha ukuhani ambacho ni lazima kiwe katika mahudhurio ya mkutano ili kuendesha shughuli ya Kanisa (M&M 107:28).