Misaada ya Kujifunza
Bwana wa Majeshi


Bwana wa Majeshi

Jina jingine la Yesu Kristo. Hutawala juu ya majeshi ya mbinguni na duniani na huwaongoza wenye haki dhidi ya uovu (M&M 29:9; 121:23).