Misaada ya Kujifunza
Magogu


Magogu

Katika Biblia, ni nchi na watu walio karibu na Bahari Nyeusi. Mfalme wao, Gogu, atayaongoza majeshi ya Magogu katika pambano kuu la mwisho kabla ya Ujio wa Pili wa Kristo (Eze. 38:2; 39:6). Maandiko yanazungumza juu ya pambano jingine kuu la Gogu na Magogu mwishoni mwa Milenia kati ya majeshi ya Mungu na majeshi ya uovu (Ufu. 20:7–9; M&M 88:111–116).

Chapisha