Misaada ya Kujifunza
Smith, Hyrum


Smith, Hyrum

Kaka mkubwa na mshirika mwaminifu wa Joseph Smith. Hyrum alizaliwa 9 Februari 1800. Alitumikia kama msaidizi kwa Joseph katika urais wa Kanisa, vile vile kuwa Patriaki wa pili kwa Kanisa. Mnamo 27 Juni 1844, akawa mfia dini mwenza wa Joseph gerezani la Carthage.