Misaada ya Kujifunza
Hasira


Hasira

Hasira ni onyesho la tabia ya ukali. Bwana aliwatahadharisha watakatifu Wake kudhibiti hasira zao (Mt. 5:22). Si mzazi wala mtoto anayepaswa kuwatukana wengine katika familia. Katika maandiko, hasira daima imepewa sura ya moto (2 Ne. 15:25; M&M 1:13).