Misaada ya Kujifunza
Alfa na Omega


Alfa na Omega

Alfa ni herufi ya kwanza katika alfabeti za Kiyunani; Omega ni ya mwisho. Haya pia ni majina yaliyotolewa kwa Yesu Kristo na yanatumika kama ishara za kuonyesha kwamba Kristo ndiye mwanzo na mwisho (Ufu. 1:8; M&M 19:1).