Misaada ya Kujifunza
Samweli Mlamani


Samweli Mlamani

Nabii Mlamani katika Kitabu cha Mormoni aliyetumwa na Bwana kufundisha na kuwaonya Wanefi muda mfupi kabla ya kuzaliwa kwa Mwokozi. Samweli alitoa unabii juu ya ishara zilizohusiana na kuzaliwa na kifo cha Yesu Kristo na juu ya angamizo la Wanefi (Hel. 13–16).