Misaada ya Kujifunza
Amoni, wa Uzao wa Zarahemla


Amoni, wa Uzao wa Zarahemla

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mtu jasiri na mwenye nguvu aliyeongoza msafara maalumu kutoka Zarahemla kwenda nchi ya Lehi-Nefi (Mos. 7:1–16). Alionyeshwa maandiko ya kale na akaelezea kuwa mwonaji ni mtu wa namna gani (Mos. 8:5–18). Na baadaye alisaidia kuwaweka huru mfalme Limhi na watu wake kutoka kwa Walamani na kuwarejesha tena Zarahemla (Mos. 22).