Misaada ya Kujifunza
Mithali


Mithali

Misemo mifupi yenye mafundisho au ushauri.

Kitabu cha Mithali

Kitabu cha Agano la Kale ambacho kina mifano mengi, misemo, na mashairi, baadhi yaliandikwa na Sulemani. Kitabu cha Mithali mara kwa mara kimenukuliwa katika Agano Jipya.

Mlango wa 1–9 ina maelezo juu ya hekima ya kweli. Mlango wa 10–24 ina mikusanyiko na misemo juu ya njia sahihi na ambazo si sahihi za kuishi. Mlango wa 25–29 ina mithali za Suleimani ambazo watu wa Hezekia, mfalme wa Yuda, waliziandika. Mlango wa 30–31 inajumuisha maelezo juu ya mwanamke mwadilifu.