Misaada ya Kujifunza
Mikono, Kuweka juu ya


Mikono, Kuweka juu ya

Tendo la kuweka mikono ya mtu juu ya kichwa cha mtu mwingine kama sehemu ya ibada ya ukuhani. Ibada nyingi za ukuhani hufanyika kwa kuweka mikono juu ya mtu, kama vile kutawazwa, kubariki, kuhudumia wagonjwa, kuthibitisha uanachama wa Kanisa, na kutoa Roho Mtakatifu.