Msaada wa Masomo
Huru, Uhuru
iliyopita inayofuata

Huru, Uhuru

Hali ya kuweza kujiamulia na kufikiri kwa uhuru au nguvu au uwezo wa kufanya maamuzi binafsi pasipo kulazamishwa. Katika maana ya kiroho, mtu anayetubu na kutii mapenzi ya Mungu anakuwa huru kutoka katika utumwa wa dhambi kwa njia ya Upatanisho wa Yesu Kristo (Mos. 5:8; Yn. 8:31–36).