Misaada ya Kujifunza
Gereza la Liberty, Missouri (Marekani)


Gereza la Liberty, Missouri (Marekani)

Gereza dogo ambamo ndani yake Joseph Smith Nabii na wengine walifungwa bila makosa kutoka Novemba 1838 hadi Aprili 1839. Wakati wakiwa katika hali hii ngumu, Joseph alipokea mafunuo kadha, alitoa unabii, na aliongozwa kuandika barua muhimu kwa Watakatifu, sehemu zake zimo katika Mafundisho na Maagano 121–123.