Misaada ya Kujifunza
Osha, Oshwa, Uoshaji


Osha, Oshwa, Uoshaji

Kusafisha, kimwili au kiroho. Kwa ishara, mtu mwenye kutubu anaweza kusafishwa kutokana na maisha yaliyolemewa na mzigo wa dhambi na matokeo ya dhambi kupitia dhabihu ya upatanisho ya Yesu Kristo. Aina fulani ya uoshaji ufanyikao chini ya mamlaka ya ukuhani sahihi hutumika kama ibada takatifu.