Misaada ya Kujifunza
Ita, Itwa na Mungu, Wito


Ita, Itwa na Mungu, Wito

Kuitwa na Mungu ni kupokea uteuzi au mwaliko kutoka Kwake au kiongozi Wake wa Kanisa aliye na mamlaka kisheria ya kumtumikia Yeye katika njia husika.