Misaada ya Kujifunza
Bethania


Bethania

Kijiji ambacho Yesu Kristo alikaa katika wiki ya mwisho ya maisha yake hapa duniani. (Mt. 21:17; Mk. 11:11). Kipo upande wa kusinimashariki mwa mteremko wa Mlima wa Mizeituni, Bethania kulikuwa ndiyo nyumbani kwa Lazaro, Maria, na Martha (Yn. 11:1–46; 12:1).