Misaada ya Kujifunza
Eli


Eli

Kuhani mkuu na mwamuzi katika Agano la Kale wakati Bwana alipomwita Samweli kuwa nabii (1 Sam. 3). Bwana alimkemea kwa sababu ya kuachilia uovu wa wanae (1 Sam. 2:22–36; 3:13).