Misaada ya Kujifunza
Labani, Mtunza Mabamba ya Shaba Nyeupe


Labani, Mtunza Mabamba ya Shaba Nyeupe

Katika Kitabu cha Mormoni, ni mtu aliyetunza mabamba ya shaba nyeupe huko Yerusalemu katika wakati wa familia ya Lehi. Labani aliwazuia na kujaribu kuwaua Nefi na kaka zake (1 Ne. 3:1–27). Roho alimwongoza Nefi amwue Labani ili apate hayo mabamba (1 Ne. 4:1–26).