Misaada ya Kujifunza
Kutengwa na Kanisa


Kutengwa na Kanisa

Hatua ya kumtenga mtu na Kanisa ni hatua ya kinidhamu iliyo kali kupita zote. Mtu anayetengwa na Kanisa si muumini tena wa Kanisa. Mamlaka za Kanisa humtenga mtu na Kanisa pale tu anapochagua kuishi kinyume na amri za Bwana na hivyo hujiondolea haki yeye mwenyewe ya kuendelea kuwa muumini katika Kanisa.