Msaada wa Masomo
Mzeituni
iliyopita inayofuata

Mzeituni

Mti maarufu katika Israeli na tegemeo muhimu la kilimo katika nchi za Biblia. Hupandwa kwa ajili ya kuni zake, matunda, na mafuta. Mzeituni umetumika mara kwa mara katika maandiko ili kuashiria nyumba ya Israeli.