Muziki
Tu Wamisionari wa Bwana


199

Tu Wamisionari wa Bwana

Kwa hamasa

1. Kama Nefi, tumezaliwa

Kwa wazazi wamchao Bwana.

Tumefunzwa, tunabidii

Katika kuzitii amri.

[Chorus]

Tu kama jeshi la Helemani.

Tumefunzwa zamani.

Tu wamisionari wa Bwana

Kutangaza ukweli.

2. Kwa ajili ya siku hizi

Tumeitwa kuilinda haki.

Tunakubali wito wake:

“Nendeni mkatumikie.”

[Chorus]

Tu kama jeshi la Helemani.

Tumefunzwa zamani.

Tu wamisionari wa Bwana

Kutangaza ukweli.

3. Tunajua wake mpango

Kupitia sala naye Roho.

Siku zote tuwe tayari

Kote kusambaza injili.

[Chorus]

Tu kama jeshi la Helemani.

Tumefunzwa zamani.

Tu wamisionari wa Bwana

Kutangaza ukweli.

Maandishi na muziki: Janice Kapp Perry, kuz. 1938

© 1983 na Janice Kapp Perry. Wimbo huu ni kwa matumizi ya kawaida, ya kanisa yasiyo ya kibiashara au matumizi ya nyumbani.