Muziki
Zitii Amri


193

Zitii Amri

Kwa upole

Zitii amri; Zitii amri!

Katika utii kuna amani.

Tutabarikiwa; Tutabarikiwa.

Basi kumbuka: Zitii amri!

Utii ni usalama.

Maandishi na muziki: Barbara A. McConochie, kuz. 1940. © 1975 IRI

Mosia 2:22

Mafundisho na Maagano 59:23