Muziki
Mzaliwa Horini


109

Mzaliwa Horini

Kwa bidii

1. Mzaliwa horini,

Sasa ni Mkombozi.

Mwanzo aliteseka;

Sasa ni Mtawala.

Sasa ni Mtawala.

2. Mwanzo mwana kondoo,

Sasa ni “MIMI NIKO”.

Alionja mauti;

Sasa yu mawinguni.

Sasa yu mawinguni.

3. Alitokwa na damu,

Sasa yu mtukufu.

Aliyepingwa kwao;

Sasa Mfalme wao.

Sasa Mfalme wao.

4. Aliachwa mpweke,

Sasa enzi ni yake.

Yote alibebeshwa;

Sasa habebi tena.

Sasa habebi tena.

Maandishi: Parley P. Pratt, 1807–1857

Muziki: Giacomo Meyerbeer, 1791–1864, umefanyiwa marekebisho

Luka 2:7

Mathayo 25:31