Muziki
Songeni Mbele Watakatifu


38

Songeni Mbele Watakatifu

Kwa uthabiti

1. Songeni mbele Watakatifu,

Kwa tumaini nyoyoni mwenu,

Na upendo wa Mungu na watu.

[Chorus]

Aleluya! Aleluya! Aleluya!

2. Mtafute Kristo muwe naye.

Jichukulieni jina lake,

Atakupa nuru ya milele.

[Chorus]

Aleluya! Aleluya! Aleluya!

3. Fuateni njia za Mwokozi.

Tangazeni upendo wa dhati

Uzima wa milele pateni.

[Chorus]

Aleluya! Aleluya! Aleluya!

Maandishi: Marvin K. Gardner, kuz. 1952; kutokana na 2 Nefi 31:20. © 1985 IRI

Muziki: Vanja Y. Watkins, kuz. 1938. © 1985 IRI

2 Nefi 31:20

Helamani 3:28–30