Muziki
Ushawishi Moyo Wangu


61

Ushawishi Moyo Wangu

Kwa hamasa

1. Ushawishi moyo wangu

Nipate imani;

Niyaache ya dunia,

Nipate amani.

2. Nibariki naposali

Moyo uwe mwema,

Nitii sauti ndogo,

Niwe nawe, Bwana.

3. Uniweke patulivu

Na kuniongoza,

Kuzijua njia zako,

Roho kumpata.

4. Bwana, nipe pendo lako

Nisiwe na dhiki.

Ushawishi moyo wangu

Nipate amani.

Maandishi na Muziki: Lorin F. Wheelwright, 1909–1987

© 1958, 1985 Lorin F. Wheelwright. Wimbo huu wa dini ni kwa matumizi ya kawaida, ya kanisa yasiyo ya kibiashara au matumizi ya nyumbani.

Alma 37:36–37

Mafundisho na Maagano 19:23, 38