198
Nainama Kusali
Kwa hamasa
1. Nainama kusali
Naongea na Baba.
Na ananijibu
Napoamini.
2. Naanza kwa kusema “Mpendwa Baba”;
Nashukuru kwa baraka;
Kisha naomba ninavyohitaji,
Kwa jina la Kristo, Amina.
Maandishi na Muziki: Janice Kapp Perry, kuz. 1938.
© 1987 na Janice Kapp Perry. Wimbo huu ni kwa matumizi ya kawaida, ya kanisa yasiyo ya kibiashara au matumizi ya nyumbani.
Zaburi 55:17
Yakobo 1:5–6