157
Ingieni Hekaluni
Kwa uthabiti
1. Ingieni hekaluni,
Patukufu kwa Mungu.
Mkawafunge milele
Wale hai na wafu.
2. Jua mpango wa Mungu;
Amri zake zitii.
Jifunge na maagano,
Mungu akubariki.
3. Muumbaji, Elohimu,
Fadhili watumishi
Na kila anayefanya
Kaziyo hekaluni.
Maandishi: Jean L. Kaberry, 1918–1997. © 1985 IRI
Muziki: Robert P. Manookin, 1918–1997. © 1985 IRI