Muziki
Niwapendavyo


185

Niwapendavyo

Kwa unyenyekevu

Niwapendavyo

Nanyi mpende.

Ni amri mpya:

Nanyi mpende.

Watu wajue

Ninyi wanafunzi,

Mkipenda

Kila mmoja.

Maandishi na muziki: Luacine Clark Fox, 1914–2002. © 1961, 1989 IRI

Yohana 13:34–35

1 Yohana 4:11