4
Niongoze Nije Kwako
Kwa heshima
1. Niongoze nije kwako
Kwa wito wa injili.
Nipe nguvu zako, Mungu,
Nitimize ahadi.
2. Baba, ninajitolea,
Nitakutumikia.
Bado ningali mnyonge,
Nipe wako mwangaza.
3. Niombapo nisikie.
Nipe nguvu daima.
Niwe na imani kwako;
Unibariki Baba.
Maandishi: John A. Widtsoe, 1872–1952. © 1948 IRI
Muziki: Alexander Schreiner, 1901–1987. © 1948 IRI
Zaburi 143:10