180
Nitafuata Mpango
Kwa shauku
Maisha yangu yenye mpango,
Yalianza juu mbinguni huko.
Nilichagua kuishi duniani
Mungu aniongoze maishani.
Nitafuata mpango,
Nitashika neno la Bwana.
Nitakuwa hodari,
Na sheria kuzitii,
Niwe na furaha hapa
Na kule mbinguni.
Maandishi na muziki: Vanja Y. Watkins, kuz. 1938. © 1981 IRI