Muziki
Nitamtafuta Ujanani


195

Nitamtafuta Ujanani

Kwa hamasa

Nitamtafuta ujanani,

Bwana anifunze ukweli.

Nitalisoma neno lake,

Kisha Mungu Baba nimuombe.

Nitamtafuta na kutii

Maneno yote ya nabii.

Nitafuata amri zake zote.

Nitamtafuta Bwana nimpate.

Maandishi na Muziki: Joanne Bushman Doxey, kuz. 1932. © 1984 IRI