Maandiko Matakatifu
Mafundisho na Maagano 120


Sehemu ya 120

Ufunuo uliotolewa kupitia Joseph Smith Nabii, huko Far West, Missouri, Julai 8, 1838, ambao unajulisha juu ya utoaji wa mali zilizotolewa kama zaka kama ilivyotajwa katika ufunuo uliotangulia, sehemu ya 119.

1 Amini, hivyo ndivyo asemavyo Bwana, wakati sasa umefika, ambao itatolewa na baraza, linaloundwa na Urais wa Kwanza wa Kanisa langu, na askofu na baraza lake, na baraza langu kuu; na kwa sauti yangu mwenyewe kwao, asema Bwana. Hivyo ndivyo. Amina.

      • MY zaka.