Misaada ya Kujifunza
5. Makaburi ya Mapatriaki


5. Makaburi ya Mapatriaki

Picha
picha 5

Jengo hili, ni moja ya majengo maarufu zaidi katika Nchi Takatifu, lilijengwa Hebroni na Mfalme Herode juu ya eneo la asili la kimapokeo la Makpela, lililonunuliwa na Ibrahimu kama sehemu ya makaburi ya familia (Mwa. 23).

Matukio Muhimu: Eneo la kaburi la Sara (Mwa. 23) na Ibrahimu (Mwa. 25:9). Isaka, Rebeka, na Lea pia walizikwa hapa (Mwa. 49:30–31). Mwili wa Yakobo uliletwa kutoka Misri kuja Kanaani na kuzikwa katika pango hili (Mwa. 50).