Misaada ya Kujifunza
Maelezo ya Jumla


Maelezo ya Jumla

Ramani ya hapo chini inaonyesha mahali ambapo picha ilipigwa katika sehemu hii. Katika kurasa zinazofuata, kila picha iliyopewa namba inaambatana na maelezo mafupi juu ya mandhari yake. Matukio muhimu ya maandiko matakatifu kutoka eneo hili yameorodheshwa, sambamba na marejeo ya maandiko ili uweze kujua wapi usome zaidi juu ya matukio hayo.

  1. Mto Nile na Misri

  2. Mlima Sinai (Horebu) na Nyika za Sinai

  3. Nyika za Uyahudi

  4. Kadeshi-barnea

  5. Makaburi ya Mapatriaki

  6. Nchi ya Milima ya Uyahudi

  7. Bethlehemu

  8. Yerusalemu

  9. Hekalu la Herode

  10. Ngazi za Kwenda Hekaluni

  11. Mlima wa Mizeituni

  12. Bustani ya Gethsemani

  13. Golgotha

  14. Kaburi la Kwenye Bustani

  15. Yeriko

  16. Shilo

  17. Shekemu

  18. Dothani katika Samaria

  19. Kaisaria na Uwanda wa Sharoni hadi Karmeli

  20. Yafa

  21. Bonde la Yezereeli

  22. Mlima Tabori

  23. Bahari ya Galilaya na Mlima wa Mahubiri ya Heri

  24. Kapernaumu

  25. Mto Yordani

  26. Kaisaria Filipi

  27. Nazarethi

  28. Dani

  29. Athene

  30. Korintho

  31. Efeso

  32. Kisiwa cha Patmo

Picha
Ramani ya Maelezo ya Jumla

Kask.

Uyunani

Bahari ya Mediteranea

Israeli

Misri

1

2

3

4

5

6

7

8

9

10

11

12

13

14

15

16

17

18

19

21

21

22

23

24

25

26

27

28

29

30

31

32