Misaada ya Kujifunza
14. Kaburi la Kwenye Bustani


14. Kaburi la Kwenye Bustani

Picha
picha 14

Ni eneo ambalo yawezekana kuwa ndiyobustani ya kaburi la Yusufu wa Arimathayo. Baadhi ya nanabii wa sasa wanahisi kwamba mwili wa Mwokozi uliwekwa katika kaburi lililopigwa picha hapa.

Matukio Muhimu: Baada ya Mwokozi kufa msalabani, mwili Wake uliwekwa katika kaburi jipya lililochongwa kutoka katika mwamba (Mt. 27:57–60). Siku ya tatu, wanawake kadhaa walienda kaburini na wakaona kwamba mwili wa Mwokozi haukuwepo hapo (Mt. 28:1; Yn. 20:1–2). Mitume Petro na Yohana pia walikwenda kaburini na kuona kwamba mwili wa Mwokozi umeondoka (Yn. 20:2–9). Mwokozi mfufuka akamtokea Maria Magdalena (Yn. 20:11–18).