Misaada ya Kujifunza
12. Bustani ya Gethsemani


12. Bustani ya Gethsemani

Picha
picha 12

Picha hii ya mzeituni mkongwe ilipigwa katika eneo la asili kimapokeo la Bustani ya Gethsemani. Mwokozi alisali karibu na hapa baada ya kuondoka orofani usiku wa kusalitiwa Kwake.

Matukio Muhimu: Hapa Yesu Kristo alianza kuteseka kwa ajili ya dhambi za wanadamu (Mt. 26:36–44; Mk. 14:32–41; M&M 19:16–19). Baada ya sala yake alisalitiwa na Yuda Iskariote, na wanafunzi wake wakamtelekeza kwa muda baada ya kukamatwa kwake katika bustani (Mk. 14:50). (Ona MWM Gethsemani.)