Misaada ya Kujifunza
18. Dothani katika Samaria


18. Dothani katika Samaria

Picha
picha 18

Dothani ina sifa ya miinuko na mabonde. Ni nchi nzuri kwa malisho. Waisraeli walipohamia katika nchi hii, eneo hili lilitolewa kwa Manase.

Matukio Muhimu: Katika Bonde la Dothani, Yusufu aliuzwa Misri (Mwa. 37:12–28). Obadia aliwaokoa manabii wengi kwa kuwaficha katika mapango wakati Yezebali alipojaribu kuwaua manabii wa Israeli (1 Fal. 18:13). Jeshi la Waashuru lilimzunguka Elisha na watumishi wake, ambao Bwana aliwaokoa kimiujiza (2 Fal. 6:13–23).